Jumatatu, 2 Machi 2015

kuvaa milegezo

Kwanini watu wanapenda kuvaa milegezo?

Siku hizi kuna wimbi kubwa la vijana kupenda kuvaa milegezo yaani hadi nguo zao za ndani kuonekana nje,sasa sijui sababu nini,wangekuwa wanawake tungesema wanataka wanaume! au lah! vinginevyo,sasa hawa vijana sababu ni nini?.
CHUNGA SANA EWE KIJANA KUVAA MTEPWESHO NI HATARI KWA HESHIMA YAKO

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni