Alhamisi, 5 Machi 2015

ASKARI WA UKAGUZI KATIKA MACHIMBO YA SHINYANGA







hawa ni babu zetu kipindi cha ukoloni waliokuwa wakifanya kazi ya manamba kwenye mgodi wa mwadui shinyanga wakikaguliwa baada ya kumalizi kazi yao.toka kipindi hicho hadi leo lasilimali zetu zinawafaidisha watu wa nchi za magharibi na vingozi wetu huku watanzania wakiachwa wakiwa hasa hawa ambao ndo wanaizunguka hiyo migodi wanaishia kuadhilika na mavumbi.je we kama mtanzania ambaye ni mhanga wa kudhuliwa mali zako na hujuma za viongozi wetu ambao wanajienemesha wao na familia zao una maoni gani kuhusu hili?

HISTOTIA KATIKA PICHA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni