Jumapili, 8 Machi 2015

tujiunge wadau kutoa maoni



Kwanza kabisa napenda kuitambulisha Blog ya Bugambo Border……Uhamiaji Group  hivi mnasemaje kuhusiana na Blog hizi kuna ukwasi, kikwazo au mtima gubi katika kitoleana taarifa au kujuzana kwa mambo yanayo endelea kataka maeneo yetu huku uswazi tunapo jumuika na maraia kwakweli mimi binausi ningependa kusena hapana kwani wadau mmekuwa wachoyo sana kupashana taarifa   hii inaendana na wadau kukosa habari mpasuko habali motomoto ……..lakini ni kwasababu gani kwanaikama kunataarifa yoyote hata kama ni yaudaku kwanini umnyime mwenzio….
Kwahiyo ndugu zangu kauli ya wadau ni FUNGUA MDOMO MDAU USIKIKE…..Hizi ni baadhi ya mionekano ya blog zetu ambazo  zinazo tujuza na nirafiki za wadau wetu….

BLOG MAMA ZINATOA SHUKURFANI KWENU WOTE NA ZINA KARIBISHA MAONI

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni