Tucheke pamoja:-
- Hata njiwa nae ANA MAKINDA, lakini hawezi kuwa SPIKA wa Bunge,
- Hata uwe mtaalamu wa kuosha vyombo kiasi gani huwezi kuosha vyombo vya habari,
- Hata uwe na imani kali vipi, huwezi kusali wakati unafanya mapenzi,
- Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu,
- Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu,
- Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria,
- Hata uwe na haraka vipi kwenda Zenj, huwezi kupanda Jahazi ya Yusuph Mzee
- Na pia usisahau .... hata zipu ina meno, lakini haipigi mswaki.............................
- hahahahahahahahah
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni