Jumanne, 10 Machi 2015

ULIZA UJIBIWE.....



hivi ni kwanini watu wakimya (wasio waongeaji kitabia) jamii huwachukulia kama wanadharau....




>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>

 Mtu mkimya wakati wewe unaongea kwa mdomo yeye anaongea kwa ubongo.

Ndio maana ukiona unaongea na mtu lakini yeye amekaa kimya achana nae.

Wakati wewe unaongea moja mdomoni yeye anawaza na kujibu mara nyingi zaidi kimoyo moyo.

Hivyo usishangea unavyoongea nae ukajua anakusikiliza kumbe yeye anatafuta namana ya kukujibu iwe kwa maneno au vitendo.

Na mbaya zaidi kila unachokiongea hasahau.!
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni