Jumanne, 10 Machi 2015

Kakakuona

Kakakuona ni wanyama wa familia Manidae ambao wamepambika na magamba na wana mkia mrefu. Wakitaka kujikinga dhidi ya wanyama mbuai wanajikunja. Hula mchwa na sisimizi na pengine wadudu wengine ambao huwakamata na ulimi wao mrefu wa kunata. Huishi katika kishimo cha kina cha hadi 3.5 m au katika mti mvungu.

Spishi za Afrika


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni