…….Nimefurahi umeelewa hilo kama usiku umeumbwa usiku kwa
mapumziko unaweza kusema kulala ila pia wapo walinzi wanafanya kazi usiku na
wafanyakazi zisizotakiwa usiku(Wezi) ila usiumize kichwa sana kama anayejipiga
kichwa kwenye matofali ya kuchoma hapo. Ni ukumbi tu wakuchekesha huu! wapo
wanaonuna na wapo wanaocheka kama huna meno muazime bibi kizee ya bandia au
kanunue!
“Ndo upuuzi wa wabongo walio wengi......nani alokwambia muda
wote ni wa kutafuta pesa. Kama ni hivyo kwanini basi umeumbwa usiku.”
KUSHANGAA NI MARA MOJA TUU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni